Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

MAUJI YA KUTISHA...!!! MKE APOKEA KIPIGO KUTOKA KWA MUMEWE HADI KUFA: KISA KAENDA KUSUKA BILA RUKSA: CHEKI PICHA HAPA

tiko tiko
Haya ndo maisha ya kumnayanyasa mkeo/mpenzi wako kila wakati yanapoishia! Huyu dada kauliwa  Morogoro kisa kaenda kusuka bila ruksa ya mumewe!!

These how violence relationshop life ending!!


Utakuta mwanamke anang'ang'ania kukaa na mwanamme anamdunda kama punchbag na ukiuliza kisa, atakwambia nikiachika nitachekwa, nitadharauliwa na blah blah nyingi!! most of the time huu ndo unakuwa mwisho wake! For what?!? Kuna wanaume na wanawake billions njee huko kha
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top