tiko
tiko
Mastar wengi wameahidi kufanya makubwa kwenye muziki mwaka 2015, K Cee
kaanza kwa kuachia ngoma yenye ujumbe mzito, tumesikia nyingi
zinazungumzia mapenzi, safari hii kaja tofauti kwa kuachia wimbo huu
wenye ujumbe wa kutia moyo kwa wale waliokata tamaa ya maisha
kwani maisha ni safari na mafanikio huja pale penye juhudi.
“Omo nah turn by turn…When Baba God say your time don come,
Then a star will be born”
Ni baadhi ya maneno yanayosikika kwenye wimbo huo, ‘Turn by Turn’ kutoka kwa K Cee, itazame hapa.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment