tiko
tiko
Kwa
watoto wenye umri chini ya miaka mitano kukojoa kitandani au
kujikojolea ni jambo la kawaida, lakini vijana na watu wazima
kujikojolea kitandani mara kwa mara siyo jambo la kawaida katika jamii.
Kitabu cha afya ya akili kilichotolewa na Chama cha Madaktari wa magonjwa ya akili cha Marekani kinasema
kuwa kikojozi ni mtu mwenye tatizo la kujikojolea nguoni au kitandani
angalau mara mbili kwa wiki kwa muda wa miezi mitatu mfufulizo akiwa na
umri wa miaka mitano au zaidi.
Tafiti zinaonyesha kwamba
katika kila watu wazima 100, mmoja wao ni kikojozi na kwa upande wa
Tanzania inayokadiriwa kuwa na Watanzania milioni 50 idadi ya watu
wazima vikojozi inakadiriwa kuwa ni sawa na nusu milioni.
Wengine wanahusha tatizo hili na
matatizo ya mishipa ya fahamu kushindwa kumpatia muhusika taarifa ya
kujaa kwa kibofu pindi anapokua usingizini na sababu nyingine ni uwezo
mdogo wa kibofu kushindwa kubeba mkojo wa kutosha kutokananakulegea kwa
valvu zake.
Sababu za tatizo hili ni
pamoja na kukomaa kwa tezi ya pituitary inayopatikana ndani ya ubongo
ambapo ikikomaa husababisha figo kuzalisha kiasi kikubwa cha mkojo na
matokeo yake muhusika akiwa usingizini hupoteza hupoteza uwezo wa
kudhibiti
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia
kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote
kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment