tiko
tiko
Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January
20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya
kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo
Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini, Ally Daxx
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza
kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wemaamekataa kuwa na uhusiano
na mwanamitindo huyo.
tiko
tiko
Post a Comment