Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Kimya kingi na mshindo huu mtu wangu, mpya ya Dullayo feat. Prof Jay- Mokomoko

tiko tiko
.
.
Muimbaji wa hit single ‘Mida ya Kazi’, Dullayo time hii amekuja na single mpya iitwayo ‘Moko Moko’, humo ndani kuna sauti ya mkali aliyepewa shavu la collabo,  Joseph Haule aka Professor Jay.
Kazi ni ya Producer Villa kutoka studio ya Mwanalizombe mtu wangu.
Unasemaje na ujio huu wa Dullayo? Nitafurahi kuona comment yako baada ya kuisikiliza #Mokomoko hapa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top