tiko
tiko
Marekani kupitia kampuni ya Local Motors ikishirikiana na maabara ya Oak Ridge imezindua teknolojia mpya ya magari yanayotengenezwa kwa kutumia malighafi ya plastic.
Vipuri vya gari hilo vinatengenezwa kwa
kutumia teknolojia ya 3D ambayo imetumia kuchapisha vipuri vya gari hilo
ambalo kwa muonekano ni kubwa lakini uzito wake ni mdogo sana
ukilinganisha na magari mengine.
Utengenezaji
wa gari hilo ulichukua muda wa saa 44 tu, betri yake hutumia gesi na
ina uwezo wa kudumu maili 40 hadi 60 kabla ya kuisha nguvu na gharama ya
gari ni paundi 18,000 sawa na milioni 47.7 za KibongoMkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Local Motors, Jay Rogers alisema gari hilo litaanza kuuzwa mwishoni mwa mwezi huu kabla ya kusambazwa kwenye soko la nje.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment