tiko
tiko
2014
ni mwaka wenye historia kubwa kwenye burudani, muziki ni moja ya vitu
vilivyoiweka Tz kwenye headlines za Kimataifa, mastaa wengi
wamewakilisha vizuri nje, sitashangaa 2015 Tz ikapaa juu zaidi kwenye
level za Kimataifa!
Tumeona wasanii wetu wakitumia models mbalimbali kutoka nje kwenye video zao, ni fahari kwetu tena, staa wa mitindo Bongo, Tanzania Supermodel Millen Magese kuonekana kwenye video ya staa wa muziki kutoka Nigeria, Banky W kwenye wimbo wake mpya, ‘Lowkey’ .
Millen ameigiza kama mwalimu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mwananfunzi wake, video imefanywa New York city.
Mcheki hapa sasa, staa wetu Millen Magese na Banky W.
Hautopitwa na story yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment