Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo,Prof. Peter Msola (shati
nyeupe) akiongoza kamati yake kukagua mradi wa maji wa Mambogo manispaa
ya morogoro.Katikati ni Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla.
Naibu
Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla (kushoto) akiongea na Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya kilimo, maji na mifugo,Prof. Peter Msola
walipotembelea mradi maji Mikumi.
Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla akitoa maelekezo kwa mkandarasi mradi wa maji Mikumi.
Post a Comment