tiko
tiko
Hatu
ya kukamatwa na nyaya hizo imetokana na baadhi ya wasamaria wema
kuiarifu polisi baada ya kutilia shaka roli moja lililobeba nyaya hizio
katika nyumba ya mkazi huyo na kusafirishwa na ndipo polisi ilipofika na
kufanya ukaguzi ikazikuta rundo hilo huku mhusika akikimbia na kuacha
familia yake.
Meneja
wa shirika la ugavi la umeme tawi la kisarawe madaraka marumbo amesema
ni wizi mkubwa ambao unashangaza kuona vifaa vilivyokutwa hapo ni vingi
vyenye kama ghala huku ikiwa na thamani isiyopungua milioni 100 ambayo
vinaweza kupelekwa kwenye mradi wowote.
Mwenyekiti
wa mtaa huo wa Nyeburu Bw,Hamisi Gea amesema aliitwa na polisi
waliokuwa wakitaka kufanya upekuzi na alishangazwa kuona mkazi huyo ana
rundo la vifaa hivyo.
Hadi
tunaondoka eneo hilo tayari roli tatu za Tanesco ikiwamo winchi ilikuwa
ikipakia vifaa hivyo kwa ajili ya kuvipeleka polisi.
tiko
tiko
Post a Comment