Kama
uko Dar es salaam 88.5 ichukue hii mtu wangu wa nguvu na hakikisha
tunakutana Club Billz Jumapili hii January 25 kumsuport mtu wetu Adam
Mchomvu ambaye anazindua video yake mpya. Nimeambiwa
list ya wasanii ni ndefu ambao wataperfoam kuna Fid Q,Joh Makini,Mr.
Blue,Nikki wa pili,Ben Pol,Young D,Shilole,Barakah Da Prince,Jay
Moe,Belle Nine na wasanii wengi wakali.
Post a Comment