Jana
rafiki yangu flani kanambia kitu bado siamini. Kwanza ana mpenzi wake
mdada mmoja supasta wa Bongo. Sasa eti jana mdada kamuomba jamaa hela ya
kwendea saluni, jamaa akatoa laki moja akampa mupenzi aende saluni,
mdada akapokea zile pesa lakini akachukua shilingi alfu kumi tu
akamrudishia jamaa shilingi alfu tisini. Jamaa akashangaa akamuuliza
mpenzi wake .’Vipi?”. Mdada msupasta akajibu ,’Mpenzi wangu shilingi
alfu kumi tu inatosha saluni, hizo nyingine we kaa nazo tu” Swali je,
huyu rafiki yangu anasema ukweli? Kuna mdada wa namna hii hapa Bongo?
Post a Comment