tiko
tiko
Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea leo ambapo timu ya Azam FC na Mtibwa Sugar FC wamekutana jioni ya leo January 8 ambapo dakika 90 ziliisha kwa droo ya kufungana goli 1-1 hivyo wakaingia hatua ya matuta.
Katika penati zilizopigwa, Mtibwa Sugar FC walishinda penati 7 huku Azam FC
wakiangushwa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali kwa kupata penati 6,
ambapo kwa matokeo hayo Mtibwa wamefaniiwa kuingia hatua ya nusu fainali
kwa kuishinda Azam.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga
na mimi
tiko
tiko
Post a Comment