tiko
tiko
Kila
napozungumzia wadogo zetu ambao kama wakipata nafasi watafanya nafasi
watafanya vitu vikubwa ni pamoja na Y Tony nimeshuhudia show zake kadhaa
ambazo zinaonyesha jitihada zake na namna anavyobadilika siku hadi
siku.Leo katuletea video yake mpya inaitwa Mama,imefanywa na director Hanscana,Dakika hizi 4 zipo kwa ajili yetu kutazama kazi ya Y Tony ambaye ukali wa singo yake ya sijazoea masebene umemfanya aitwe Y Tony Masebene.
Bonyeza play kutazama.
tiko
tiko
Post a Comment