tiko
tiko
Ile collabo iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu ya mkongwe wa Afro Beat, Femi Kuti ft. 2face Idibia & Sound Sultan ambayo ni remix ya kazi yake ya ‘Politics Na Big Business’ tayari imetoka.
Nigeria inakaribia kufanya uchaguzi
mkuu, wimbo huu ni kama ujumbe wake kwa Wanigeria kufanya uchaguzi wa
kiongozi atakayetatua matatizo ya nchi hiyo ikiwemo rushwa.
Hii ni mara ya kwanza namsikia staa 2face akishiriki wimbo unaohusu siasa ya Nigeria, unaweza kubonyeza play kuusikiliza hapa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment