tiko
tiko
Kwa wapenzi wa huu muziki watakuwa mashahidi kwamba jina la AY
ni moja kati ya majina machache yaliyoweza kudumu kwa wakati wote toka
muziki ukiwa chini mpaka umeweza kusikika Afrika yote hivi sasa.
Haikuwa safari nyepesi, mengi yametokea lakini AY amedumu na hii Bongo Fleva yetu kwa miaka 14 mtu wangu!
Hapa kuna story ya BBC, imeandaliwa na Mtangazaji Salim Kikeke, itazame hapa story hiyo inayosimulia safari yote ya Bongo Fleva.
Nitakupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment