tiko
tiko
Mkanda huo uliobuniwa Paris
unaweza kujirekebisha wenyewe kiunoni, ukila ukashiba huna haja ya
kuuweka sawa, utakaa wenyewe size sana na kiuno kilivyo, au unapokaa
chini na kusimama kazi ni hiyo hiyo mtu wangu.
Huu niubunifu wa Kampuni ya Consumer Electronics Show (CES), hawajasema ni lini utaingia sokoni lini na kuuzwa bei gani.
Smartphone app itakusaidia kurekebisha size ambayo unataka mkanda huo ujifunge.
Unaweza kubonyeza play kuangalia ufanisi wake hapa.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment