tiko
tiko
Zaidi
ya watui arobaini wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya
miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori moja lilionekana kuwa
ni la jeshi kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya COSTA la
ubungo Tegeta eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.
Paparazi
imeshuhudia tukio hilo lililovuta hisia za mamia ya wakazi wa Tegeta
huku baadhi ya mafundi gerejji wa Tegeta wakijaribu kutumia vifaa
maalumu kukata mabati ya magari kwa nia ya kunasua baadhi ya majeruhi
walionasa ndani ya COASTA hiyo kusuru abiria walioonekana kunasa katika
vyuma vya magari hayo baadhi ya wamashuhuda na Dereva wa COSTA pamoja na
kuomba eneo la kibaoni kuweka njia ya mzunguko maarufu kama ROUND ABOUT
kwa lengo la kuepusha madereva wanao lazimika kugeuza kwa dharura
katika njia kuu maarufu kama UTAN kutokana na njia hiyo kukosa fursa ya
kugeuza endapo kuna ulazima wa kufanya hivyo pia wamemtupia lawama
Dereva wa Lori kama msababisha ajali kwa kukosa hekima ya kuchukua
tahadhari kabla ya kufanya hivyo.
Kamanda
wa polisi mkoa kipolisi kinondoni Kamilius wambura amethibitisha
kutokea kwa ajali hiyo akieleza kutoa taarifa mara baada ya uchunguzi
kufanyika.
tiko
tiko
Post a Comment