tiko
tiko
Wananchi
wa kijiji cha kurwaki wilayani Butiama mkoani Mara wamemkamata na
kumfikisha katika kituo cha polisi cha mugango wilayani humo mtu mmoja
ambaye anadaiwa kuwatapei baadhi ya wananchi kwa kujifanya kuwa ni afisa
wa wakala wa umeme vijijini rea huku akidaiwa kukusanya mamilioni ya
fedha kutoka kwa wananchi kwa lengo la kuwaunganishia nishati ya umeme
katika nyumba zao.
tiko
tiko
Post a Comment