tiko
tiko
Mrembo
na mwigizaji wa filamu mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya
kijamii hapa Bongo, Wema Sepetu ame-share nasi picha kadhaa akiwa na
rafiki yake kipenzi, mwigizaji Aunty Ezekiel ambae kwa sasa ni
mjamzito na karibu kujifungua.
Kwenye
picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishuka tumbo la Aunty kitendo
ambacho kinaashilia kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa
kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumba ambao Wema aliutupia kuonyesha
kuwa yeye na aunty ni marafiki wa kweli na wanafurahia pamoja.
Kitendo hiki cha wema kiliwafurahisha wengi na kumsifu Wema kuwa na moyo wa upendo kwa jamaa zake.
Nami naungana nao kumsifu Wema kwa moyo huu aliouonesha, kwani rafiki wa kweli ni yule ambae mnakuwanae wakati wote…
Ubuyu
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment