tiko
tiko
Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40
Wakazi wa Shinyanga wakiangalia mwili wa marehemu |
Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu |
Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa-Picha na |
Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu |
Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio |
Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu |
Askari polisi wakiondoka eneo la tukio |
Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio |
tiko
tiko
Post a Comment