Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Nimekusogezea video mpya kutoka kwa Rapa Iggy Azalea akimshirikisha Jennifer Hudson-‘Trouble’

tiko tiko
iggyBaada ya Rapa Iggy Azalea kufanya vema na Hit’s single yake ya ‘Fancy’ aliyomshirikisha Charli XCX, leo nakusogezea video ya collabo yake mpya inaoitwa‘Trouble’ aliomshirikisha muigizaji na muimbaji Jennifer Hudson wimbo unaotoka kwenye Albam yake mpya ya Reclassified, unaweza kuicheki hapa mtu wangu.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top