tiko
tiko
Ndege ya rais wa Ghana (Falcon 900) iliwaka moto jana wakati ikijaribu kupaa katika jiji la Accra kwenye uwanja wa ndege wa Kotola.
Unaambiwa ndege iliwaka moto lakini rais wa nchi hiyo John Mahama na
viongozi wengine wa serikali hawakuwemo ndani yake hivyo hakukuwa na
majeruhi yoyote ambapo serikali imesema moto ulitokana na msuguano wa
matairi na barabara ya uwanja wa ndege.
Nitaendelea kukupatia kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment