tiko
tiko
Pamoja
na kupata dili la kutangaza katika kituo cha E FM Cha jijini Dar es
salaam mwigizaji mkongwe, Adam Melele “Swebe Satanta” amesema ajaacha
uigizaji.
Swebe alisema kuwa bado anaigiza na nikiongozi wa kundi jipya
lianalounganisha wakongwe katika tasnia ya filamu na maigizo la Kaone
Sanaa linalorusha tamthiliya yake katika TV one.
‘Naingiza kama kawaida isipokuwa inategemea napata maslai kwa mtindo
gani? Harafu pia unatakiwa ujue kama mimi ni kiongozi wa kundi la Kaone
Sanaa, naigiza pia nikitangaza sifungwi nisiigize” swebe alisema.
Swebe kwasasa anatangaza kipidi cha Gurudumu ni nacho rushwa kilasiku
kwenye kituo hicho cha redio, Wengi walidhani kuwa atakuwa ameacha
kuigiza kutokana na shavu hilo.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment