tiko
tiko
Urembo:
Ni kweli macho ya naonge lakini hili la mwigizaji Batuli linaongea
zaidi. Haya sio maneno yangu ni bali ni maneno yake mwenyewe
alioyaandika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM mara baada ya kutupia
picha hiyo hapo juu akiwa amerembua.
“Look into my eyes and hear what I'm not saying, for my
eyes speak louder than my voice ever will.....”
eyes speak louder than my voice ever will.....”
Haya jamani wale mliosoma English Mediam, hebu malizieni hizo deshidesh...
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment