tiko
tiko
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’
amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na
hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa
sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri
zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri
zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo
unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini
sisi tumekaa tu".alisema Lulu.
Lulu amesema mwaka huu atapigana na kuhakikisha anatoka kimataifa na
kufanya kazi kubwa na kufungua njia kwa wasanii wa filamu walio bweteka
na kuridhika na soko la ndani ambalo halieleweki
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment