tiko
tiko
Mchungaji wa kanisa la Baptist Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja kati ya waumini wake.Philip ambaye tayari alianza kuwa na uhusiano na muumini huyo huku mke wake Anne Karissa akijua lakini baadaye aliamua kumsamehe.
Pamaoja na upendo wa mke wake kwake mchungaji huyo aliona hiyo haitosha na kufanya uamuzi mgumu kwa kumzamisha mke wake kwenye maji hadi kusababisha kifo chake pamoja na mwanaye aliyekuwepo tumboni.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment