Wastara Juma akiwa na Bond
MSANII mkongwe
katika gemu la filamu Bongo, Wastara Juma ameapa kumfikisha mtu kwa
Pilato ili asulubiwe kwa kuchokonoa maisha yake na mwandani wake mpya
Bond huku wakiyahusisha mahaba niue yao na marehemu mumewe Sajuki.Alikwenda
mbele na kusema baada ya mume wake kufariki wambeya hao walitegemea
aishi vipi wakati naye ni binadamu na anahitaji….?????? |
Post a Comment