tiko
tiko
Kila
mtu anajua uzuri na raha ya picha, hizi ni za mwigizaji Batuli akiwa na
Joel Joseph wa fresh120media siku ya sherehe yake ya kuzaliwa.
Watu wanasema picha huzungumza, lakini
Batuli mwenyewe asema wao ni marifiki tuu, na sisi tunakubali, lakini
wapo ambao wanaona kunachazaidi hapa....
Katika kuona picha hizi zina utataaa, kwenye moja ya picha hizi Batuli aliandika kwa kumuliza joel kiutani.
“Can I ask u something!? Joel do u have a
girlfriend!? Maana nahisi kama utapigwa hivi...... Halafu unajua nina
bae au hujui!? Unajua kazi ya silaha hizi!? (akaweka picha yavisu na
bastola)
Wewe je utakubali wako atokelezee namna hii na Me/Ke wako?
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment