tiko
tiko
Tukio hilo limetokea jana Iringa Mjini maeneo ya Kihesa,baada ya
majirani kutoa taarifa kwenye serikali ya mtaa kuwa kuna babu anamfungia
ndani na kumnyima chakula mtoto wake mwenye miaka kumi ambaye ni
mlemavu wa akili.
Picha kama mnavyoiona hapo, dada wa kazi wa binti babu huyo sasa bado yupo kituo cha polisi hapa mjini kwa mahijiano zaidi.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment