tiko
tiko
Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko
Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti
huku wote sura zao zikiwa hazionekani.
Moja kati ya akaunti kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa
wa Wema, inayokwenda kwa jina la WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na
kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.
Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema
ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za
Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.
Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani
karibu watu wote walikuwa wakifurahia na kupongeza ‘Madame’kwa kupata
katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS
wao.
Swali je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?...
Muda utazungumza
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment