tiko
tiko
NYOTA
wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na
mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao
kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.
“Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu
Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuchapana,”
kilisema chanzo chetu.
Baada ya habari hii kutua mezani, mwandishi wetu alizungumza na wote
wawili ambapo Lungi alikiri kutofautiana na mwenzake kwa alichosikia,
wakati Amanda alikanusha kuwa na ugomvi na mwenzake na kwamba hajaongea
naye kwa simu kwa muda mrefu kwani hata namba yake hana.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment