tiko
tiko
Mara
nyingi tumezoea kusikia matukio ya ajabu, mengine yakiingia kwenye
historia na kuacha kumbukumbu zisizofutika kama hii ya mtoto aliyezaliwa
China na kugundulika kuwa ni mjamzito.
Mtoto huyo aliyezaliwa Katika Hospitali ya Queen Elizabeth na kugundulika kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha wiki tatu tangu azaliwe kitendo kilichowalazimu madaktari kumfanyiwa upasuaji.
Daktari bingwa wa uzazi Dr Yu Kai-man
amesema haikuwa rahisi kumchunguza mtoto huyo ili kujua ujauzito huo,
kwa kuwa ujauzito huo ulikuwa mdogo sana na haikuwa rahisi kufikiri
kwamba mtoto huyo mdogo anaweza kupata ujauzito.
Taarifa zinasema tukio kama hili
lilitokea mwaka 2010 ambapo lilimtokea msichana ambaye
hajafahamika, Shirika la Afya Duniani lilisema hiyo inaweza kuwa aina
ya cancer na inaweza kuhusishwa na kitendo cha mama kutoa sana
ujauzito.
Nitaendelea kukupatia kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment