tiko
tiko
Katika hali ya kawaida imezoeleka kuwa tendo la ndoa au ngono au mapenzi hufanywa zaidi na vijana kwa sababu miili yao imechangamka na pia ina nguvu kuliko ya watu wazima na afya ya kuhimili tendo hili lakini pia ule mvuto wa mapenzi nao huwa mkubwa miongoni mwa vijana .
Kinyume na dhana za kawaida , Utafiti mpya uliofanyika kwenye maeneo kadhaa ulimwenguni umeonyesha kuwa watu wenye umri mkubwa wanaongoza kwa kufanya mapenzi mara nyingi kuliko watu wenye umri mdogo .
Ripoti zimeonyesha kuwa asilimia 31% ya wanawake wenye umri kati ya 50 na 90 wanafanya mapenzi angalau mara mbili kwa mwezi huku asilimia 54% ya wanaume wenye umri wa zaidi ya miaka 50 wanafanya mapenzi angalau mara mbili kwa mwezi .
Utafiti huu pia umeonyesha kuwa kiwango cha kuridhishwa na tenod la ndoa huongezeka kwa wanawake kadri umri wao unavyozidi kuongezeka huku ikiwa kinyume kwa wanaume ambao wanaonekana kutoridhika na mapenzi kadri umri unavyozidi kwenda .
tiko
tiko
Post a Comment