tiko
tiko

Mashabiki hao walimsukuma kumzuia mtu
mmoja ili asipande ndani ya treni hiyo huku wakiimba wimbo uliohisisha
ishu ya ubaguzi wa rangi.
Wakati wakimsukuma walikua wakiimba nyimbo za kibaguzi zilizolenga kumdhalilisha.
“Tutawaadhibu wote waliohusika na
kitendo hiki.. kwenye mpira hatuwezi kuruhusu mambo haya, tumepanga pia
kuomba wachunguzi kutoka UEFA waweze kutusaidia kuwapata wote
waliohusika“-alisema mmoja wa viongozi wa Club ya Chelsea.
Chelsea FC confirm banning orders and criminal action against those on the video.
Good.
— Stan Collymore (@StanCollymore) February 18, 2015
Hii ni video wakati mtu huyo akisukumwa na mashabiki hao wa Chelsea.Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment