Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Maisha mapya ya Samuel Eto’o Italy ndani ya mjengo huu mpya (Pichaz)

tiko tiko
Premiership Stars 25m GBP Haunted MansionMshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Everton, Samuel Eto’o ameanza maisha mapya ndani ya Italy, makazi mpya ilikuwa kitu muhimu kwake kuwa nacho.
Jamaa ni staa kwenye soka na ana mafanikio makubwa sana, anastahili kupata makazi poa kama haya ambayo ameona aweke pesa yake ili aishi humo.
Premiership Stars 25m GBP Haunted Mansion
Mchezaji huyo raia wa Cameroon ametumia zaidi ya paundi milioni 18.5 (zaidi ya bil. 51 Tshs) kununua nyumba hiyo yenye muonekano wa kuvutia, ina eneo kubwa lenye mandhari nzuri ya kupumzika, bwawa la kuogelea pamoja na vyumba vya kulala 40.
Muonekano wa nyumba hiyo una mapambo mbalimbali ya asili ya Misri ikiwemo sanamu la Pharaoh.
Eto’o amesaini kuichezea  Sampdoria ya Italy akitokea Everton mwezi January, 2015.
Premiership Stars 25m GBP Haunted Mansion
25BBF72A00000578-2955506-image-a-44_1424088904789
25B6301000000578-0-image-a-58_1424182839984
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top