tiko
tiko

Kijana
Huyu Amekutwa Akiwauzia Wakazi wa Temeke Mwisho Mishikaki ya Paka na
kufuatia kitendo hicho kilichowakera wananchi,ndipo wakaanza kumshushia
kipigo cha maana
muuza
mishikaki huyo maarufu katika stendi ya Temeke Mwisho jijini Dar es
salaam.Kijana huyo amekutwa akiandaa mishikaki ya nyama ya paka.Picha
iliyopo hapa chini ni moja ya paka hao waliokuwa wanaandaliwa kwa ajili
ya mishikaki.

Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Like Page Yetu
tiko
tiko
Post a Comment