Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Mastar watatu waliotajwa na iPhone kumiliki simu kali zaidi Duniani ..

tiko tiko
group11
iPhone 6 wanasema huenda zikawa simu za bei kali zaidi kwa sasa duniani.
Mastaa wanapenda pia vitu vizuri na vya thamani, mfano simu za iPhone ziko mikononi mwa mastaa wengi sana hata hapa Bongo.
Kampuni ya Apple ambao ndio watengenezaji wa iPhone wamesema kuwa miongoni mwa wateja wao wakubwa duniani ni hawa; mwanariadha Usain Bolt Mjamaica, mwanasoka mstaafu David Beckham na star wa mziki P Diddy.
david-beckham-and-apple-iphone-4-gallery
Hapa Beckham alikuwa na iPhone4 yake wakati huo
Unaambiwa mastaa hao kila mmoja ana iPhone 6 ambayo imetengenezwa kwa madini ya almasi, thamani ya simu hiyo kila moja ni paundi mil. 2.3 (kama bil. 6.5 za TZ).
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top