tiko
tiko
MBUNIFU wa
mavazi na mtangazaji Bongo, Jokate Mwegelo amesababisha shosti yake,
Wema Sepetu ‘Madam’ afurahi baada ya kumpelekea zawadi ya kandambili
zake za Kidoti pamoja na vipodozi mbalimbali.
Jokate alisema Wema ni miongoni mwa watu ambao anawakubali kutokana na mchango mkubwa katika tasnia ya filamu Bongo, hivyo ameamua kumpelekea zawadi ya bidhaa zake za Kidoti kuonesha heshima yake.
Jokate alisema Wema ni miongoni mwa watu ambao anawakubali kutokana na mchango mkubwa katika tasnia ya filamu Bongo, hivyo ameamua kumpelekea zawadi ya bidhaa zake za Kidoti kuonesha heshima yake.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ akipozi.
“Zawadi zangu niliwapa watu mbalimbali
mmoja wapo akiwa ni shoga yangu wa kitambo Wema, hii inaonyesha ni jinsi
gani nina mapenzi makubwa kwake,” alisema Jokate.
Kwa upande wake Wema, alifurahi na kusema amependa zawadi hiyo anamuomba Mungu azidi kumfungulia milango Jokate katika bidhaa zake mbalimbali anazosa-mbaza.
tiko
tiko
Post a Comment