tiko
tiko
Mrembo na mwigizaji Irene Uwoya, hivi juzi kati aliwauliza swali followers wake
kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili
wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. Swali ambalo
liliibua COMMENTS nyingi na LIKES za kutosha huku kila mtu akisema lake
na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni
uchokozi....
Sasa na mimi ni kaona sio mbaya ni share
na wewe swali hili kwa kulileta hapa, nikiamini hapa kuana wadu na
wapenzi wengi wa mwanadada huyu ili nao wafunguke;
Uwoya aliuliza;
tiko
tiko
Post a Comment