Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Ronaldo aendelea kutisha Madrid.

tiko tiko
ronnaldo

Mabingwa wa ulaya , Real Madrid wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuwafunga wapinzani wao toka jijini Madrid Getafe katika mchezo wao wa 18 wa ligi kuu ya Hispania .
Madrid walihsinda mchezo huo kwa matokeo ya 3-0 wakifunga mabao yao kupitia kwa Cristiano Ronaldo na Gareth Bale ambapo Ronaldo alifunga mabao mawili .
Ushindi huu unawafanya Real wafikishe idadi ya pointi 45 baada ya kucheza michezo kumi na nane .
Mabao matatu dhidi ya Getafe yalifungw ana Ronaldo (2) na Gareth Bale (1)
Mabao matatu dhidi ya Getafe yalifungw ana Ronaldo (2) na Gareth Bale (1)
Kwa upande wa Cristiano Ronaldo , mabao mawili aliyofunga hii leo yanamfanya afikishe idadi ya mabao 28 ambayo amefunga kwenye mechi 18 idadi inayomfanya aendelee kukaa kwenye kilele cha orodha ya wafungaji bora huku pia akiongoza orodha ya pasi za mwisho akiwa amesaidia pasi za mwisho kwa wenzie mara 9.
Real Madrid bado wana mchezo mmoja mkononi ambao utawafanya wafikishe idadi ya michezo 19 kama ilivyo kwa timu nyingine za ligi ya Hispania .
Ronaldo anaongoza kwa kufunga magoli (28) na kwenye pasi za mwisho (9).
Ronaldo anaongoza kwa kufunga magoli (28) na kwenye pasi za mwisho (9).
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top