tiko
tiko
Wananchi wakishuhudia janga la moto
uliozuka mara baada ya transfoma la kituo kikuu cha umeme Mgololo,
Iringa kulipuka ghafla na kuteketea.
Moto ukizidi kuteketeza transfoma
hilo.TRANSFOMA la kituo kikuu cha umeme eneo la Mgololo jirani na
kiwanda cha karatasi mkoani Iringa limeteketea kwa moto baada ya
kulipuka ghafla leo. 
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na umewaka kwa takribani saa nne kutokana na ukosefu wa zimamoto hali iliyopelekea kuitwa vikosi vya zimamoto kutoka Njombe na Mafinga kilomita 130 kutoka eneo la tukio.
Baadhi ya maeneo ya mikoa ya Njombe na Mbeya itakuwa gizani kwa kuwa yanatgemea umeme wa kituo hicho.
tiko
tiko
Post a Comment