tiko
tiko
Mrembo na mwigizaji wa filamu za
kibongo, Elizabeth Michael “Lulu” akiwa na familia yake, Mama na mdogo
wake wanapata ‘Lunch’ Aliweka picha hii mtandaoni na kuandika kuwa,
kama ikitokea mmoja kati ya wanafamilia hao, akimchukia ndio anaweza
akapata ‘pressure’ lakini wengine wote hata wamchukie hawezi kujali na
atatafuta njia ya kushughurika nao.
“Lunch thngz wth Family, Ikitokea mmoja
kati ya hawa akanichukia ndo ntaweza kupata pressure....but the rest,
I'll search 4 a Fck to give” Lulu aliandika.
Nadhani ujumbe umefika!!!
tiko
tiko
Post a Comment