tiko
tiko
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu hapa
bongo, Jacob stephen ‘JB’ ambae pia ni mkurugenzi na mliliki wa kampuni
ya maswala ya filamu ya Jerusalem alitupia picha hiyo hapo juu na
kuibandikia maelezo haya;
“Mzee huyo mwenye kofia anaitwa Chimbeni
herry, hii ni moja kati ya scene utakazo ziona ndani ya mzee wa
swaga.Hapo ni zanzibar,kati ya wasanii wazuri ambao hawajatumika vizuri
ni pamoja na huyu.
Jamani anaweza,mwaka huu nitacheza
filamu mbili (2) tu, lakini nitaanda nyingi ambazo nitawaachia watu
wengine waonekane hasa Zanzibar,Mwanza,Arusha,Dodoma na Mbeya.
Hakika tutazalisha mastaa wengi kama
tulivyofanya kwenye bado natafuta,wageni wangu na Chausiku,Jerusalem ni
yenu vijana”. JB alimaliza
tiko
tiko
Post a Comment