tiko
tiko
Hit Maker wa ‘pombe yangu’ na ‘tema mate tuwachape’ leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo.com kuhusu mjengo wake ambao upo Mbezi ya Kimara Dar es salaam na umechukua miaka 5 mpaka kumalizika.Kwa sasa nyumba hii imemalizika na anaishi mlinzi tu na ni nyumba ya vyumba 4 Dinning na Sitting Room ambapo kuhusu gharama kamili ya mjengo huu Madee amesema hana kumbukumbu kamili ingawa kwa harakaharaka amedai ni kama milioni 100 za kitanzania.
Unataka stori kama hizi zisikupite? kaa karibu na mimi
tiko
tiko
Post a Comment