Birdman
bosi wa YMCMB amempa smile msanii mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa
kumpa zawadi ya gari lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.9
aina ya Bugatti Veyron 16.4.
Justin Bieber hakusita ku-share furaha yake baada ya ku-post picha ya
gari hilo jekundu kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika,”Uncle
Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity”
Post a Comment