tiko
tiko
Picha za kwanza muundo wa uwanja wa soka utakaokuwa ukitumiwa na timu
mpya inayomilikiwa na David Beckham zimetoka ambapo utakua ni uwanja
unaoweza kuingiza watu elfu ishirini na tano na unatarajiwa kujengwa
katika eneo la Port of Miami, Marekani.Unaambiwa pia ndani ya uwanja huu wa kisasa kutakuwa mgahawa mkubwa pamoja klabu ya usiku.


tiko
tiko
Post a Comment