tiko
tiko
Kabla
ya kuwepo kwa jumba aliloiita Beckingham Palace kulikuwa na nyumba ya
kawaida ya vyumba vinne iliyopo huko Wosrsley lakini hivi sasa
nyumba hiyo iliyopo barabara ya Hazlehurst, iliyonunuliwa na staa wa
soka David Beckham katika miaka ya tisini, ipo sokoni na inategemewa
kuuzwa kwa kiasi cha kuanzia £375,000 mpaka £400,000 itakapopigwa mnada
March 19.Beckham ambae kipindi anainunua nyumba hiyo alikuwa na miaka 20, aliishi kwenye nyumba hiyo kabla ya kuoa na kununua jumba la kifahari huko Hertfordshire kwa £2.5m na kuliita jina la Beckingham Palace.
Beckham
alihamia kwenye hiyo iliyopo Worsley ili aweze kuwa karibu na rafiki
yake na mchezaji mwenzie wa United, Ryan Giggs lakini sasa ameamua
kuiuza.
tiko
tiko
Post a Comment