tiko
tiko
Diamond
ni miongoni mwa wasanii wa bongofleva ambao wapo kwenye ujenzi wa
makazi yao huku wengine tayari wameshamaliza na kuhamia ambapo mmoja wao
ni staa wa ‘nani kamwaga pombe yangu’ Madee.Kwenye ujenzi wa nyumba ya Diamond, nguvu zake nyingine kazielekeza kwenye ujenzi wa bwawa la kuogelea kama inavyoonekana kwenye hizi picha.
Wengine wanaojenga bado ni pamoja na Shilole.
tiko
tiko
Post a Comment