tiko
tiko
ELIZABETH
Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja
mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya
mitandaoni.
Akizungumza na mwanahabari wetu mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry
Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya
Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo
alipomtolea uvivu iwe fundisho.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua
kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram nikaamua
kumtolea uvivu kwa kumpaka maneno ya shombo iwe fundisho,” alisema Lulu.
Lulu alimwambia mtu huyo kuwa asijifanye anamjua sana Kanumba kuliko yeye ambaye alikuwa akilala naye kama mchumba wake
tiko
tiko
Post a Comment