tiko
tiko
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejipanga vizuri kukabiliana na viashiria vya matukio ya kigaidi na ujambazi wa kutumia silaha katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman
Kova, alisema watashirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama
ili kuhakikisha udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo zinazoweza
kujitokeza, hasa katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka.
Alivitaja vikundi hivyo kuwa ni Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji, kampuni
binafsi za ulinzi, vikosi vya uokoaji wakati wa majanga na vikundi vya
ulinzi shirikishi.
tiko
tiko
Post a Comment